Ahmed amesema hali ya uwanja katika eneo la kucheza (Pitch) sio rafiki sana kutokana nakuwa na matope katika baadhi ya sehemu lakini tumejipanga kuhakikisha tunacheza kutokana na mazingira yaliyopo.
Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kurejea Kikosini kwa kiungo mkabaji, Fabrice Ngoma.