Ahmed amesema wachezaji waliokuwa kwenye majukumu ya timu za taifa wameanza kurejea, wale wa Stars wamefika jana leo kiungo mshambuliaji, Clatous Chama amejiunga na wenzake huku Henock Inonga akitarajia kuwasili kesho asubuhi.
Tazama mahojiano haya mpaka mwisho kujua maandalizi ya mchezo pamoja na mipango ya timu.