Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed aelezea hali ya kikosi baada ya mazoezi ya mwisho

1 Apr 2025

Ahmed amesema wachezaji wote wameshiriki mazoezi ya mwisho na hakuna ambaye amepata majeraha ambayo yatamfanya kuukosa mchezo wa kesho.

Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amesema wachezaji wanataka kuweka rekodi ya kuipeleka timu nusu fainali.

Advertisement
Back to homepage
Share this story