Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed achambua ushindi dhidi ya Tanzania Prisons

22 Oct 2024

Ahmed amesema viwango vya wachezaji wetu havipashani ndio maana licha ya kocha kufanya mabadiliko ya wachezaji watano lakini hakuna kilichokosekana.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia viwango vya mchezaji mmoja mmoja.

Advertisement
Back to homepage
Share this story