Ahmed amesema wachezaji mmoja mmoja viwango vyao vimeimarika huku akimtaja kiungo mshambuliaji, Jean Charles Ahoua ambaye amefunga bao moja na kutoa assisti mbili
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia mipango ya mechi zinazofuata.