Ahmed amesema bao la jioni lililofungwa na Edwin Balua limemfurahisha sana na limefanya sauti yake kukauka kwa kushangilia.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amekumbushia ushindi tuliopata dhidi ya Nkana Red Devils.