Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Abdallah Khamis aahidi makubwa

19 Dec 2023

Abdallah amesema amekuwa mvumilivu katika kipindi chote lakini ujio wa kocha Abdelhak Benchikha umemuongezea hamasa yakujituma zaidi ili kutafuta nafasi ya kuaminiwa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Abdallah amezungumzia pia kuhusu familia na mashabiki.

Advertisement
Back to homepage
Share this story