Abdallah amesema haitakuwa mechi rahisi na tutapata upinzani mkubwa kutoka kwa Dodoma lakini Simba ni timu kubwa na imekamilika kila idara hivyo uwezekano wa ushindi ni mnono upo.
Ntibazonkiza yeye amesema mara zote kila timu inapokutana nasi lazima mchezo uwe mgumu lakini tupo tayari kwa changamoto yoyote itakayotokea.
Advertisement
Tazama hadi mwisho mahojiano haya ili ujue kila kitu kuelekea mchezo huo.