Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Abdallah Hamis aelezea ndoto yake ya kucheza Simba ilivyotimia

30 Jul 2023

Abdallah amesema amekuwa akitamani kucheza Simba muda mrefu ndio maana alivyopata taarifa tunamuhitaji hakufikiria mara mbili kabla ya kukubali.

Kiungo huyo ameweka wazi kuwa kutakuwa na ushindani mkubwa wa namba kwenye kikosi kutokana na ubora wa wachezaji lakini amejidhatiti kuhakikisha anapambana kulishawishi benchi la ufundi mazoezini ili kupata nafasi.

Advertisement

Tazama hadi mwisho mahojiano haya ili kujua historia yake ya maisha na mipango yake baada ya kutua Simba.

Back to homepage
Share this story