Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Abbas asimulia historia yake ndani ya Simba, aitaja US Gendamarie

20 Nov 2023

Abbas amesema moja ya changamoto aliyowahi kupitia katika kazi yake ya uratibu ni alivyokwenda nchini Niger ambapo alitafuta Hoteli kwa ajili ya timu lakini ilikuwa haina hadhi kwa ukubwa wa Simba lakini kwao ilikuwa ni Hoteli kubwa.

Fuatilia mahojiano haya mpaka mwisho Abbas amezungumzia historia yake yote ya maisha ya soka.

Advertisement
Back to homepage
Share this story