Tulimaliza nafasi ya pili kundi C hivyo mpinzani ambaye tutakutana nae atakuwa ameongoza kwenye kundi lake.
Kwa mujibu wa kanuni za CAF tutakutana na timu moja kati ya tatu ambazo zimemaliza kinara wa kundi lake ambazo ni.
- Esperance De Tunis (Tunisia)
Advertisement
- Wydad Casablanca (Morocco)
- Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)
Katika hizo timu hapo juu unatamani tupangwe na nani? Funguka hapa.