Simba Sports Club
News

Tutashuka tena dimbani kesho

31 Jul 2022

Mchezo huo utaanza saa moja usiku kwa saa hapa nchini Misri ambapo huko nyumbani itakuwa saa mbili usiku.

Kama ilivyokuwa kawaida tutakuwekea updates za mchezo huo wakati ukiendelea katika App yetu ili kufahamu kila kitu.

Advertisement

Mechi hizi za kirafiki zinamsaidia kocha Zoran Maki na wasaidizi wake kuangalia mapungufu na kuyafanyia kazi kabla ya kuanza msimu mpya wa ligi.

Back to homepage
Share this story