Simba Sports Club
News

Tutakutana na Kagera Nusu Fainali ya Vijana

18 May 2024

Timu yetu imemaliza nafasi ya kwanza katika kundi A baada ya kushinda mechi mbili na kutoka sare moja.

Tunategemea kupata upinzani mkubwa kutoka kwa Kagera na haijafika hatua hii kwa bahati mbaya bali jitihada kwahiyo tunajipanga vizuri kuwakabili.

Advertisement

Malengo yetu ni kuhakikisha tunafanya vizuri kwenye michuano hii kwahiyo tunaupa umuhimu mchezo wa Jumatatu.

Back to homepage
Share this story