Simba Sports Club
News

Tupo kwenye kinyang'anyiro cha klabu bora ya mwaka Afrika

22 Oct 2025

Katika msimu huo tulifanikiwa kufika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na kupoteza kwa jumla ya mabao 2-1 dhidi ya RS Berkane.

Timu nyingine zinazowania tuzo hizo ni CR Belouizidad, CS Constantine, ASEC Mimosas, Pyramids na RS Berkane.

Advertisement

Nyingine zilipo kwenye orodha ya timu zinazowania tuzo hiyo ni Mamelodi Sundowns, Orlando Pirates, Stellenbosch na Al Hilal.

Tuzo za timu bora ya mwaka ya CAF zinatarajiwa kutolewa Disemba mwaka huu.

Back to homepage
Share this story