Simba Sports Club
News

Tunacheza mechi ya mwisho ya kirafiki dhidi ya Al-Adalah Leo Usiku

29 Jul 2024

Mchezo dhidi ya Al-Adalah ni wa mwisho wa kirafiki hapa Misri na Julai 31 kikosi kitaanza safari ya kurejea nchini.

Jana tumecheza mechi ya pili ya kirafiki dhidi ya Telecom na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.

Advertisement

Kocha Fadlu Davids anaendelea kutengeneza muunganiko wa wachezaji ndani ya timu hasa ukilinganisha wengi wao ni wageni ndani ya timu.

Back to homepage
Share this story