Simba Sports Club
News

Tunaanza na Tabora United Ligi Kuu ya NBC 2024/25

9 Aug 2024

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa tutafungua msimu kwa kucheza na Tabora United huku sisi tukiwa wenyeji.

Msimu huu tutatumia Uwanja wa Manispaa ya Kinondoni (KMC) kwa mechi zetu za nyumbani baada ya kupitishwa na Bodi ya Ligi.

Hizi hapa mechi zetu tano za mwanzo za Ligi

Agosti 18, Simba vs Tabora United

Agosti 25, Simba vs Fountain Gate

Advertisement

Oktoba 22, Tanzania Prisons vs Simba

Azam FC vs Simba (Haujapangiwa tarehe)

Simba vs Namungo (Haujapangiwa tarehe)

Mchezo wa kwanza wa dabi ya Kariakoo dhidi ya watani wa jadi Yanga utapigwa Oktoba 19 ambapo sisi ndio tutakuwa wenyeji.

Back to homepage
Share this story