Baada ya mchezo wa ufunguzi wa Ngao ya Jamii dhidi Yanga Oktoba 13 tutakaa siku nne kabla ya kushuka tena dimbani kucheza na Geita.
Mechi zetu tano za kwanza
Geita (nyumbani)
Kagera Sugar (nyumbani)
Advertisement
KMC (nyumbani)
Tanzania Prisons (ugenini)
Mbeya City (ugenini)