Simba Sports Club
News

Tumezindua jezi mpya kwa ajili ya Kombe la Shirikisho Afrika

20 Nov 2024

Hafla ya Uzinduzi wa jezi hizo imefanyika katika Duka kubwa la mzabuni Sandaland The Only One lililopo Kinondoni Dar es Salaam.

Kama ilivyo ada jezi nyekundu itakuwa kwa mechi za nyumbani, nyeupe kwa mechi za ugenini na bluu bahari ikiwa jezi namba tatu.

Advertisement

Tayari jezi zimeanza kuuzwa katika maduka yote ya Sandaland kwa bei ya Shilingi 45,000 nchi nzima.

Back to homepage
Share this story