Tunaendelea kusuka kikosi imara ambacho kitatuwezesha kufanya vizuri kwenye ligi ya ndani pamoja pamoja michuano ya Kimataifa.
Tunathamini mchango wao kwakuwa wamesaidia kwa kiasi kikubwa kutufanya tumeibuka na Mabingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL).
Wachezaji tuliowaaga ni
Zubeda Mgunda
Zainabu Mohamed
Koku Kipanga
Wema Richard
Advertisement
Silvia Thomas
Diana Mnally
Danai Bhobho
Joanitah Ainembabazi
Diakiese Kaluzodi
Olaiya Barakat
Simba tunawatakia kheri nyota hao katika maisha ya mapya na mara zote tutakumbuka mchango wao ndani ya timu.