Tumeweka hadharani viingilio vya mchezo huo,
Hivi hapa viingilio
Mzunguko - Tsh. 5,000.
VIP C - Tsh. 10,000.
VIP B - Tsh. 20,000.
Advertisement
VIP A - Tsh. 30,000
Platinum - Tsh. 150,000
Tayari tiketi zimeanza kuuzwa kwa njia za mtandao.
Kuelekea mchezo huo tumekuja na Slogan ya "Twendeni Kinyama, Mashabiki Bomba" lengo ni kuonyesha kuthamini mchango wa mashabiki wetu.