Simba Sports Club
News

Tumeviweka hadharani viingilio vya mchezo dhidi ya ASEC

16 Nov 2023 By simbasc 308 views
Novemba 25 kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakaoanza saa 10 jioni. Tumeweka hadharani viingilio vya mchezo huo, Hivi hapa viingilio Mzunguko - Tsh. 5,000. VIP C - Tsh. 10,000. VIP B - Tsh. 20,000. VIP A - Tsh. 30,000 Platinum - Tsh. 150,000 Tayari tiketi zimeanza kuuzwa kwa njia za mtandao. Kuelekea mchezo huo tumekuja na Slogan ya "Twendeni Kinyama, Mashabiki Bomba" lengo ni kuonyesha kuthamini mchango wa mashabiki wetu.   https://youtu.be/MhuGRo7y9Xg?si=tKiKAl6FwhEIfsb2
Advertisement
Back to homepage
Share this story