Kouablan amesaini mkataba wa miaka miwili kukitumikia kikosi chetu.
Hadi sasa Freddy ndiye anaongoza kwa ufungaji kwenye ligi kuu ya Zambia kwa kuweka kambani magoli 14 na assist 4.
Advertisement
Usajili wa Kouablan umekuja saa chache baada ya kutangaza mshambuliaji mwingine mpya Pa Omar Jobe raia wa Gambia tuliyemsajili kutoka Zhenis FC ya Kazakhstan.