Simba Sports Club
News

Tumepoteza mechi ya kwanza ya fainali ugenini

17 May 2025

Mamadou Camara aliipatia Berkane bao la kwanza dakika ya nane kwa kichwa baada ya kumalizia mpira wa kona uliopigwa na mlinzi Hamza Elmoussoui.

Oussame Lamlioui aliwapatia Berkane bao la pili dakika ya 15 baada ya kuwazidi ujanja walinzi wetu akiwa ndani ya 18.

Kipindi cha pili tulirudi kwa kuongeza umakini kuhakikisha hatufanyi makosa ambayo yataweza kutuletea madhara.

Mchezo wa marudiano utapigwa nchini Tanzania, Mei 25 ambao mshindi wa jumla utatawazwa kuwa bingwa.

Advertisement

X1: Munir, Dayo, Tahif, Elmoussoui, Assal, Camara, Lebhiri, Khairi (Zhoudi 74'), Mehri, Riahi (Elmorabit 74' Santos 86') Lamlioui

Waliionyeshwa kadi:

X1: Camara, Kapombe, Zimbwe Jr, Chamou, Hamza (Che Malone 22'), Kagoma, Kibu (Nouma 45'), Ngoma, Ateba, Ahoua (Fernandez 90+4')Mpanzu (Mutale 80')

Waliionyeshwa kadi:

Back to homepage
Share this story