Simba Sports Club
News

Tumepoteza mbele ya Yanga Princess

2 Oct 2024

Mchezo huo ambao ulikuwa mkali muda wote ulimalizika kwa sare ya kufungana bao moja katika dakika 90 za kawaida.

Yanga Princess walikuwa wa kwanza Agness kabla ya Jentrix Shikangwa kusawazisha dakika ya 90.

Katika mchezo huo penati zetu tatu zilifungwa na Precious Christopher, Jentrix na Asha Djafar.

Advertisement

Kwa upande wa waliopoteza mikwaju ya penati ni Fatuma Issa 'Fetty Densa' na Vivian Corazone.

Baada ya kupoteza mchezo wa leo tutakutana na Ceasia Queens katika mechi ya kutafuta mshindi wa tatu wa Ngao ya Jamii.

Back to homepage
Share this story