Simba Sports Club
News

Tumepata ushindi dhidi ya Stade Malien

14 Feb 2026

Anicet Oura alitupatia bao la hilo dakika ya nne baada ya kumalizia pasi ya kifua iliyopigwa na Seleman Mwalimu kufuatia mpira wa kona uliopigwa na Clatous Chama.

Baada ya bao hilo tuliendelea kutengeneza nafasi za kufunga mabao mengine lakini tulikosa umakini wa kuzitumia.

Kipindi cha pili tuliongeza kasi na kutengeneza nafasi kadhaa za kufunga lakini changamoto ikabaki kuzitumia.

Tumehitumisha rasmi michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu tukiwa na alama tano.

Advertisement

X1: Kassali, Duchu, Kibabage, Toure, De Reuck Kagoma, Mpanzu (Morice 69'), Kante (Loemba 69') Mwalimu (Sowah 83'), Chama, Oura

Waliionyeshwa kadi:

X1: Toure (SY 61'), Diarra, Haman (Coullibaly 86') Coulibaly, Diallo, Dobe, Bello, Awine, Boubacar, Simpara (Hamidou 77') Asamoh (Nkeng 61')

Waliionyeshwa kadi: Bode 11' Toure 33' Diallo 83'

Back to homepage
Share this story