Simba Sports Club
News

Tumepata pointi tatu za Singida Big Stars

3 Feb 2023

Jean Baleke alitupatia bao la kwanza dakika ya nane baada ya kumaliza mpira wa adhabu uliopigwa na Chama.

Saido Ntibazonkiza alitupatia bao la pili kwa kichwa dakika ya 20 baada ya kumalizia mpira wa adhabu uliopigwa na Chama.

Bruno Gomes aliwapatia Singida bao la kwanza dakika ya 34 kwa mpira wa adhabu uliotinga wavuni moja kwa moja na kumshinda mlinda mlango, Aishi Manula.

Pape Sakho alitupatia bao la tatu dakika ya 63 kwa tik tak baada ya kumalizia mpira wa krosi uliopigwa na Shomari Kapombe.

Advertisement

X1: Manula, Kapombe, Zimbwe Jr, Onyango, Henock (Kennedy 87'), Kanoute (Sawadogo 83'), Sakho, Mzamiru, Baleke (Bocco 84') Ntibazonkiza, Chama

Walioonyeshwa kadi: Kanoute 36'

X1: Haule, Gyan, Kibabage, Carno, Wawa, Kagoma, Andambwile (Ndemla 32'), Nashon, Kazadi, Bruno, Kagere (Fegu)

Walioonyeshwa kadi: Kagoma 41' Carno 68'.Wawa, Bruno

Back to homepage
Share this story