Simba Sports Club
News

Tumepangwa na TRA United robo fainali CRDB Federation Cup

17 Apr 2026

Mchezo wa robo fainali umepangwa kuchezwa kati ya Mei 16 na 17 katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo ambapo sisi tutakuwa wenyeji.

Mshindi wa mchezo wetu atacheza na mshindi kati ya Coastal Union na Singida Black Stars katika hatua ya nusu fainali.

Advertisement
Back to homepage
Share this story