Simba Sports Club
News

Tumepangwa na TRA 32 bora ASFC

2 Feb 2024

Tumefika hatua hii baada ya kufanikiwa kuifunga Tembo FC kutoka Tabora kwa mabao 4-0 katika mchezo uliopigwa juzi Jumatano Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

Mchezo wetu dhidi ya TRA unatarajiwa kufanyika kati ya Februari 20 hadi 22 ambapo sisi ndio tutakuwa wenyeji.

Advertisement

Malengo yetu ni msimu huu ni kuhakikisha tunashinda taji la kila mashindano ambayo tutashiriki.

Back to homepage
Share this story