Katika droo hiyo sisi ndio wenyeji ambapo mchezo huo utapigwa kati ya Disemba 15 hadi 17 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Msimu huu malengo yetu ni kuhakikisha tunachukua taji la michuano hii ambalo msimu uliopita tulilipoteza.
Advertisement
Msimu uliopita tulitolewa nusu fainali na Azam FC katika mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara.