Wapinzani wetu Greenland FC ni timu kutoka mkoani Kagera ambayo inashiriki Ligi ya Mkoa.
Mchezo huo umepangwa kufanyika kati 17 hadi 19 Februari ambapo sisi tutakuwa timu mwenyeji.