Sisi ndiyo wenyeji wa mchezo huo ambao utafanyika kati ya Januari 27 hadi 31 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
Kikosi chetu kilianza michuano hii katika hatua ya 64 bora ambapo tulipangwa na JKT Tanzania tukawafunga bao moja katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Advertisement
Aidha, sisi ni mabingwa watetezi wa michuano hiyo ambayo tulifanikiwa Julai 25 mwaka jana baada ya kuifunga Yanga bao moja katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.