Mechi yetu dhidi ya Coastal itapigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kati ya Januari 27 hadi 29 kwa mujibu wa droo iliyofanyika.
Kama tukifanikiwa kuifunga Coastal na kutinga hatua ya 16 tutakuna na mshindi kati ya New Dandee vs African Sports.
Advertisement
Mechi za hatua ya 16 bora zitapigwa kati ya Machi 3 hadi 5.
Dhamira yetu msimu msimu huu ni kuhakikisha tunashinda mataji yote ya ndani ambayo tuliyopoteza.