Simba Sports Club
News

Tumepangwa kundi D Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

3 Nov 2025

Hatua hiyo itahusisha timu 16 bora Afrika zilizofanya vizuri katika ngazi ya klabu msimu uliopita.

KUNDI - D

SIMBA SC (TANZANIA)

ESPERANCE SPORTIVE DE TUNIS (TUNISIA)

Advertisement

ATLETICO PETROLEOS (ANGOLA)

STADE MALIEN (MALI)

Msimu uliopita tulifika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika lakini sasa tupo Ligi ya Mabingwa na tumeingia hatua ya makundi.

Back to homepage
Share this story