Kikosi chetu kimepangwa pamoja na timu za Jamhuri ya Zanzibar, Singida Fountain Gate na APR ya Rwanda.
Michuano hiyo inatarajia kuanza Desemba 28 na itafikia tamati Januari 13 siku moja baada ya kufanyika sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar.
Advertisement
Michuano ya Mapinduzi mwaka huu inatarajiwa kuwa migumu hasa ikichagizwa na ushiriki wa timu kutoka Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi.