Katika kundi letu tumepangwa pamoja na timu za Wydad Casablanca ya (Morocco), ASEC Mimosas (Ivory Coast) na Jwaneng Gallaxy ya(Botswana).
Mechi za mzunguko wa kwanza zitakafanyika kati ya Novemba 24-25 ambapo kila timu lazima zikutane mara mbili nyumbani na ugenini.
Advertisement
Timu mbili za kwanza zitaingia moja kwa moja kwenye hatua ya 16 bora.