Simba Sports Club
News

Tumepangwa kundi B Mabingwa Afrika

6 Oct 2023 By simbasc 266 views
Droo hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika iliyofanyika jijini Johannesburg; Afrika Kusini imekamilika na tumepangwa kundi B. Katika kundi letu tumepangwa pamoja na timu za Wydad Casablanca ya Morocco, ASEC Mimosas (Ivory Coast) na Jwaneng Gallaxy ya Botswana. Mechi za mzunguko wa kwanza zitakafanyika kati ya Novemba 24-25 ambapo kila timu lazima zikutane mara mbili nyumbani na ugenini. Timu mbili za kwanza zitaingia moja kwa moja kwenye hatua ya 16 bora.
Advertisement
Back to homepage
Share this story