Simba Sports Club
News

Tumemtoa kwa mkopo Joelle Bukuru

16 Jan 2024

Joelle ni miongoni mwa wachezaji wetu bora ndani ya kikosi lakini kutokana na ushindani mkubwa wa namba nafasi yake imekuwa ndogo hivyo tumeamua kumpeleka kwa mkopo Fountain ili kumrejesha kwenye ubora wake.

Uongozi wa klabu pamoja na benchi la ufundi lina imani kubwa na Joelle na tuna matumaini baada ya muda wake wa mkopo kuisha atarejea kikosini.

Advertisement

Joelle ni mchezaji pekee kutoka katika kikosi chetu kutolewa kwa mkopo katika kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili.

Back to homepage
Share this story