Simba Sports Club
News

Tumegawana pointi na Yanga

1 Mar 2026

Tulianza mchezo kwa kasi huku tukiliandama lango la Yanga ambapo dakika ya pili Inno Loemba alipoteza nafasi ya wazi baada ya mpira alioupiga kumngonga mlinda mlango, Djigui Diarra.

Tuliendelea kutengeneza nafasi na kumiliki mpira katika dakika 40 za kipindi cha kwanza lakini changamoto ikawa kuzimalizia ili kupata mabao.

Dakika 10 za mwanzo za kipindi cha pili Yanga walikuja kwa kasi na kufika mara kadhaa langoni kwetu lakini tulikuwa imara kwenye kuzuia.

Matokeo haya yanatufanya kufikisha alama 24 tukiwa nafasi ya tatu kwenye msimamo baada ya kucheza mechi 10.

Advertisement

X1: Diarra, Mwenda, Zimbwe Jr, Job (Mwamnyeto 38') Bacca, Damaro, Nzengeli, Abuya (Andambwile 90'), Depu (Mwanengo 90'l, Mudathir (Okello 64'), Dube (Buba 64'k

Waliionyeshwa kadi: Damaro 89'

X1: Kassali, Kapombe, Kibabage (Mligo 86'), Toure, De Reuck, Kagoma, Gueye (Mpanzu 75'), Kante (Mwalimu 62'), Oura, Loemba, Chama

Waliionyeshwa kadi:

Back to homepage
Share this story