Simba Sports Club
News

Tumegawana pointi na ES Tunis kwa Mkapa

1 Feb 2026

Nahodha Shomari Kapombe alitupatia bao la kwanza dakika ya 39 baada ya kumalizia mpira wa krosi uliopigwa na Nickson Kibabage.

Yusuph Kagoma alitupatia bao la pili dakika ya 45 kwa kichwa baada ya kumalizia mpira wa pasi uliopigwa kwa kichwa na Clatous Chama.

Aboubakar Diakite aliipatia ES Tunis bao la kwanza dakika ya 63 baada ya mlinzi Ismail Toure kutoa pasi fupi kwa mlinda mlango kabla ya kumkuta mfungaji.

Kouceila Boualia aliipatia ES Tunis bao la pili dakika ya 79 baada ya kupokea pasi kutoka kwa nahodha Msekni.

ES Tunis walipoteza mkwaju wa penati dakika ya nne ya nyongeza baada ya Naby Camara kucheza madhambi ndani ya 18.

Advertisement

X1: Kassali, Kapombe, Kibabage, Nangu (Toure 61'), De Reuck, Kagoma (Naby 57'), Gueye (Mpanzu 73') Kante (Morice 73'), Kibu (Mwalimu 73'), Chama, Oura

Waliionyeshwa kadi: Gueye 45+3' Kibu 67' Kante 73'

X1: Ben Said, Keita, Laifi, Jellasi, Hmida, Konate, Onuche, TKA, Yan Sasse (Drager 83'), Diakite (Msekni 68') Diarra (Boualia 45')

Waliionyeshwa kadi:

Back to homepage
Share this story