Simba Sports Club
News

Tumefanikiwa kuifunga Wydad nyumbani

22 Apr 2023

Mchezo ulianza kwa kasi tukishambuliana kwa zamu huku mpira ukichezwa zaidi katikati ya uwanja huku timu zikicheza kwa tahadhari.

Jean Baleke alitupatia bao hilo pekee dakika ya 31 akimalizia pasi ya Kibu Denis kufuatia shuti la mpira wa adhabu uliopigwa na Saido Ntibazonkiza kuzuiwa na walinzi wa Wydad.

Kipindi cha pili tulirudi kwa kasi na kufanya mashambulizi mengi langoni mwa Wydad lakini mabingwa hao wa Afrika walikuwa watulivu zaidi kwenye eneo lao la ulinzi.

X1: Ally, Kapombe, Zimbwe Jr, Joash, Inonga, Kanoute, Chama, Mzamiru, Baleke (Bocco 88') Ntibazonkiza (Sakho 80'), Kibu

Advertisement

Walioonyeshwa kadi: Onyango 21'

X1: El Motie, Aboulfath, Zola, Benayada (Khannouss 69') Attiat Allah, Jabrane, Daoudi, El Hassouni, Bouhra (Moutaraji 63'), Boussefian (Haimoud 63'), Ahdad (Ellafi 83')

Walioonyeshwa kadi: Daoudi 51' Ahdad 84' Zola 85'

Back to homepage
Share this story