Simba Sports Club
News

Tumechukua alama tatu za Fountain Gate

15 Apr 2026

Mchezo ulianza taratibu huku tukifika zaidi langoni mwa Fountain Gate na kutawala sehemu kubwa ya mchezo na kutengeneza nafasi nyingi za kufunga.

Clatous Chama alitupatia bao la kwanza dakika ya tano ya nyongeza kipindi cha kwanza baada ya kumalizia mpira uliozuiliwa na walinzi wa Fountain Gate.

Libasse Gueye alitupatia bao la pili dakika ya 53 baada ya kuwazidi ujanja walinzi wa Fountain Gate kufuatia pasi ya kisigino iliyopigwa na Seleman Mwalimu.

Mlinzi Shaban Mbegu alijifunga dakika ya 71 katika jitihada za kuokoa mpira wa krosi uliopigwa na Elie Mpanzu na kutupatia bao la tatu.

Ushindi huu unatufanya kufikisha alama 39 tukiwa nafasi ya pili kwenye msimamo baada ya kucheza mechi 17.

Advertisement

X1: Machupa, Obasi, Mukombozi, Mukono (Tiote 19' Henry 45'), Kader (Shiga 85') Sadick (Shaban 63') Mwanuke, Awara, Abdulazak (Kindimile 63') Pandu, Mponzi,

Waliionyeshwa kadi:

X1: Kassali, Duchu, Kibabage (Mligo 65'), Toure, De Reuck (Mbegu 62') Kante, Gueye, Maema (Loemba 47'), Mwalimu (Mpanzu 65') Chama (Morice 73'), Oura

Waliionyeshwa kadi: Kante 76'

Back to homepage
Share this story