Wasaidizi hao ni Boyco Simeonov pamoja na kocha wa makipa Vitomir Hristov Vutov ambao wote ni raia wa Bulgaria.
Pantev alijiunga na kuliongoza benchi letu la ufundi kwa muda wa miezi miwili kuanzia Oktoba, 3 mpaka leo.
Advertisement
Pantev ameiongoza timu katika mechi tano akishinda mbili, sare moja na kupoteza michezo miwili.
Katika kipindi hiki Uongozi ukiwa unaendelea kutafuta kocha mpya timu itakuwa chini ya Kocha Msaidizi, Seleman Matola.