Simba Sports Club
News

Try Again: Msimu ujao hatutakuwa wanyonge

16 Jun 2023

Try Again amesema tutasuka kikosi imara kwa ajili ya kuhakikisha tunashinda mataji baada ya kuyakosa kwa miaka miwili.

"Naomba niwahakikishie Wanasimba wote kuwa msimu ujao hatutakuwa wanyonge, tutakuwa imara kuliko ilivyokuwa awali.

Advertisement

"Tunajua kwa misimu miwili hatukuwa na furaha lakini msimu ujao tutakuwa bora kwakuwa tutasajili kikosi imara," amesema Try Again.

Back to homepage
Share this story