Simba Sports Club
News

Try Again aongoza Kikao cha Bodi ya Wakurugenzi

12 Apr 2023

Kikao cha leo ni cha kwanza cha Bodi ya Wakurugenzi kwa Mtendaji Mkuu wa Klabu, Imani Kajula tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo miezi mitatu iliyopita.

Pia kikao hicho ni cha kwanza kwa Wajumbe wapya wa Bodi waliochaguliwa na wanachama pamoja na wale walioteuliwa na muwekazaji Mohamed Dewji 'Mo'.

Advertisement
Back to homepage
Share this story