Huu ni utaratibu ambao tumeweka katika michuano ya Kombe la Mapinduzi ya mwaka huu kutoa zawadi kwa Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikiwa ni sehemu ya kutangaza Utalii.
News
Try Again ampa zawadi Rais Mwinyi
13 Jan 2024