Simba Sports Club
News

Try Again akutana na Infatino Morocco

8 Feb 2023

Try Again ni miongoni mwa viongozi wachache wa klabu Afrika waliopata nafasi ya kushiriki kozi hiyo ambayo moja ya waendashaji ni kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger.

Try Again amesema kozi hiyo itatusaidia kuboresha uendeshaji wa klabu na itakuwa mfano kwa timu nyingine katika mambo mengi.

Advertisement

"Hii ni fursa kubwa ambayo tumeipata Simba, itatusaidia kuboresha uendeshaji wa klabu. Tutakuwa timu bora ambayo itakuwa mfano kwa nyingine," amesema Try Again.

Try Again amesema wakati kozi inaendelea FIFA na CAF wanaendelea na mipango ya maandalizi ya Super Cup ambayo sisi tutashiriki.

Back to homepage
Share this story