Try Again ametangaza maamuzi hayo yenye lengo la kutoa nafasi kwa klabu hii kuwa na mwanzo mpya uliobora zaidi.
Katika hatua nyingine Try Again amemuomba Mwekezaji na Rais wa Heshima wa klabu ya Simba Mohammed Dewji 'Mo' kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
Advertisement
Tazama mahojiano haya hadi mwisho