Mchezo huo ulipangwa kufanyika Machi 8 lakini haukufanyika kutokana na ukiukwaji wa baadhi ya kanuni.
Mchezo wa Dabi ya Kariakoo ni moja ya mechi zinazosubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi na mashabiki ndani na nje ya nchi.