Baada ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji kikosi kiliondoka asubuhi kwa Treni mpaka Dar es Salaam na mchana kilianza safari ya kuelekea Zanzibar.
News
Timu yawasili Salama Zanzibar
26 Feb 2026