Simba Sports Club
News

Timu yawasili Salama Dar es Salaam

20 Oct 2025

Baada ya timu kuwasili maandalizi ya mchezo wa marudiano utakaopigwa wikiendi ijayo yanaanza mara moja.

Ingawa tulipata ushindi mnono ugenini lakini tunaichukulia kwa ukubwa mechi ya marudiano ya nyumbani kwakuwa malengo yetu ni kushinda na kuingia hatua ya makundi.

Advertisement

Mchezo wa marudiano dhidi ya Nsingizini utapigwa Jumapili saa 10 jioni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Back to homepage
Share this story